Abdul au Dully melody ni Msanii alieingia kwenye game ya Usanii Kwa kishindo na kuwagaragaza wasanii walio tangulia.msanii huyu ametoa vibao kama vile:Mamuu,yagayaga,Kivumbi,sasambua na vinginevyo.kwasasa...
Sanaa ya kenya hasa mkoani Pwani, yaingia tanda belua baada ya wasanii wengi wanao peta kwenye stesheni za radioni, kutopata chochote kwenye mziki wao.
Je wadhani nikipi wadhani kingefanyika ? Weka...
Baada ya kimya cha takribani miaka mitano,Bakari Munga au Bk Arah kama tiara Wa vibao kama vile, sorry mchizi wangu alicho mshirikisha chikuzee na Mwaga jasho alicho fanya na Dazla kiduche. Ameamua...
Samweli Wa yesu aka proffesor Mafyonze ni Msanii Wa kizazi kipya kutoka Pwani anayefanya mziki wake one Touch records. Katika studio hii anaendesha ratiba Akiwa na producer Mkali Generaley Takalli.
Wasanii...
Studio ya one Touch records inafanya vyema sana Katika ulimwengu Wa sanaa ya mziki Wa kizazi kipya. Mashabiki mtapata habari zote zinazochipuka kutoka Kwa vyombo vêtu vya habari.
...