Mwanarepa chipukizi toka hapa mombasani Johnzy aliyewachapia vibao kama 'I want more, Panda na Own cash, hivi sasa amewachilia kibao kipya kijiulikanacho kama 'Naitinga'.
Ngoma hii ni ya nguvu...
Baada ya mda mchache bila kutoa ngoma mpya ,mkali wao zee la mavuvuzela(chikuzee) ameamua kufanya collabo na msanii chipukizi anaye kuja kwa kasi kevz Ally toka ghetto bitz chini ya usimamizi wa meneja...
Wakazi wa pwani wajivunia stesheni ya pwani tv kwa kuwapa habari na burudani murwa. Wasanii chipukizi wa pwani wanafurahia stesheni hii vile vile kwa kuweza kupewa fursa ya kuonekana kwenye...
Meet the finest Dj Van aka the music Samorai who does his things uniquely. He likes mixxing dancehall music. Catch him on whispers media while he does his thin...