Breaking News

Sunday, 14 January 2018

Bk Arah ang'oa nanga tena

Baada ya kimya cha takribani miaka mitano,Bakari Munga au Bk Arah  kama tiara Wa vibao kama vile, sorry mchizi wangu alicho mshirikisha chikuzee na Mwaga jasho alicho fanya na Dazla kiduche. Ameamua kurudi tena Kwa fujo na kibao Sina mwengine alicho Kifanya kwenye lebo yake mpya ya one Touch records chini ya producer Generaley takali. Bk Arah pia ameandaa collabo na Msanii kama vile samwela aka professor mafyonze ambayo anaelezea kilicho mpoteza Kwa game.Na amewarai mashabiki Wa mziki wake wampe support tena.Unaeza pata nyimbo za Bk Arah Kwa Mdundo.com na YouTube.kwa maoni wasiliana nasi kupitia 0707125724 au fb page one Touch records.

No comments:

Post a Comment

Designed By Published.. Blogger Templates