,Baada ya kuvamia game ya mziki kwa takribani miaka miwili hivi,Msanii kwajina rasmi Sam Mwayaya(Samwela Wa Yesu) Ameamu kufanya mziki wa "bongo gospel" Hii imemsababishia kujinyakulia mashabiki zaidi ya elfu mbili.Nyimbo yake mpya Nitalia inaonekana kumpa umaarufu usio na dosari.Tumemhoji naye na amefunguka kuhusu ujio wake mpya ,Nimeamua kufanya mziki huu ili kujenga msingi wa wasanii wa gospel hapa pwani.
Sunday, 18 February 2018
Saturday, 10 February 2018
Sanaa chipuka
Kwakua vipaji vingi vyaonekana kufa, bloggers wa sanaa Afrika Mashariki wameamua kuvilea kwa kufanya interview na wasanii chipuka nakuzieka online.Kati ya wasanii walio bahatika na mpango huo huyu hapa Vicky.Vicky ni msanii chipuka wa nyimbo za injili na interview itakua hewani muda usio kua mrefu.Msanii ambaye anafanya mziki wake chini ya lebo za one touch records amefurahi sana.
Monday, 15 January 2018
Prince of mélodies aachilia Misifa
Abdul au Dully melody ni Msanii alieingia kwenye game ya Usanii Kwa kishindo na kuwagaragaza wasanii walio tangulia.msanii huyu ametoa vibao kama vile:Mamuu,yagayaga,Kivumbi,sasambua na vinginevyo.kwasasa ametoa kibao kipya kwajina 'Misifa'.Misifa nikibao ambacho kimezua ati ati kwani kimetaarishwa tofauti sana. Tumeeza kuwasiliana naye na ameahidi kutisha zaidi Mwaka huu.
Mziki Wa Pwani unadoa
Sanaa ya kenya hasa mkoani Pwani, yaingia tanda belua baada ya wasanii wengi wanao peta kwenye stesheni za radioni, kutopata chochote kwenye mziki wao.
Je wadhani nikipi wadhani kingefanyika ? Weka comment zako
Sunday, 14 January 2018
Bk Arah ang'oa nanga tena
Baada ya kimya cha takribani miaka mitano,Bakari Munga au Bk Arah kama tiara Wa vibao kama vile, sorry mchizi wangu alicho mshirikisha chikuzee na Mwaga jasho alicho fanya na Dazla kiduche. Ameamua kurudi tena Kwa fujo na kibao Sina mwengine alicho Kifanya kwenye lebo yake mpya ya one Touch records chini ya producer Generaley takali. Bk Arah pia ameandaa collabo na Msanii kama vile samwela aka professor mafyonze ambayo anaelezea kilicho mpoteza Kwa game.Na amewarai mashabiki Wa mziki wake wampe support tena.Unaeza pata nyimbo za Bk Arah Kwa Mdundo.com na YouTube.kwa maoni wasiliana nasi kupitia 0707125724 au fb page one Touch records.
Friday, 12 January 2018
Prof. Mafyonze ni nani ?
Samweli Wa yesu aka proffesor Mafyonze ni Msanii Wa kizazi kipya kutoka Pwani anayefanya mziki wake one Touch records. Katika studio hii anaendesha ratiba Akiwa na producer Mkali Generaley Takalli.
Wasanii wanaweza kuwasiliana naye kwa nambari 0707125724.
One Touch records yatetemesha
Studio ya one Touch records inafanya vyema sana Katika ulimwengu Wa sanaa ya mziki Wa kizazi kipya. Mashabiki mtapata habari zote zinazochipuka kutoka Kwa vyombo vêtu vya habari.