,Baada ya kuvamia game ya mziki kwa takribani miaka miwili hivi,Msanii kwajina rasmi Sam Mwayaya(Samwela Wa Yesu) Ameamu kufanya mziki wa "bongo gospel" Hii imemsababishia kujinyakulia mashabiki zaidi ya elfu mbili.Nyimbo yake mpya Nitalia inaonekana kumpa umaarufu usio na dosari.Tumemhoji naye na amefunguka kuhusu ujio wake mpya ,Nimeamua kufanya mziki huu ili kujenga msingi wa wasanii wa gospel hapa pwani.